November 21, 2015

 Mwanamuziki mkongwe wa muziki asiyezeeka na ladha za Bongo Fleva ambaye amekuwa akifanya vizuri kila kukicha Prince Dully Sykes, amekuletea wimbo wake mpya kabisa alioimba na wadogo zake kutoka mkubwa na wanawe Yamoto Band  wanakwambia tuachie.

sikiliza na download hapa

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE