Baada ya wimbo wake kuzidi kufanya vizuri kila kukicha, sasa Diamond Platnumz amekuletea hii behind the scene ili uweze kujua jinsi wimbo ulivyokuwa unafanyiwa video
Tazama behind the scene ya Utanipenda kutoka kwa Diamond platnumz hapa chini
Tazama behind the scene ya Utanipenda kutoka kwa Diamond platnumz hapa chini
0 MAONI YAKO:
Post a Comment