January 03, 2016

 Mwanamuziki nguli wa Hip Hop nchini Selemani Msindi (Afande sele, simba mzee) ame post picha katika ukurasa wake wa Facebook na kuandika maneno haya

"Maandalizi ya kuhamia Shambani Kuendeleza rasmi KILIMO NA UFUGAJI"
‪#‎SIMBAporini‬.
 

  

 

 Kwa kauli hiyo je! Afande sele mji umemshinda??

Related Posts:

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE