Popote pale ambapo unaisikiza Clousd Fm
kupitia masafa uliyopo ndani ya mkoa wako, kama wewe ni mwanafunzi,
mkulima, mfanyabiashara, mwalimu ama mwanataaluma wa fani yoyote, basi,
WEWE NI NUMBER ONE,,, Hii Ni Maalum Kabisa Kwako Wewe,,,,
Sisi
Clouds fm tunakutaka wewe mdau wetu uendelee kuwa namba moja kwenye
sekta yako unayoitumikia kila siku, usikubali kushuka chini, fanya mwaka
huu u-shine (ung’ae) na kuendelea kubaki hapo ulipo sasa!!..
‘’ CLOUDS FM TUNAKUFUNGULIA DUNIA KUWA UNACHOTAKA 2016 ’’.
0 MAONI YAKO:
Post a Comment