Msanii Chemical ndiye aliyefungua pazia la burudani pande za Escape 1 kuukaribisha mwaka Mpya 2016.
Watu mbalimbali waliofika Escape 1 kuukaribisha mwaka Mpya 2016.
Msanii Matonya akiwapa burudani mashabiki waliofika Escape 1 kuukaribisha mwaka Mpya 2016.
Madee akiwaburudisha wananchi waliofika Escape 1 kuukaribisha mwaka Mpya 2016.
0 MAONI YAKO:
Post a Comment