January 31, 2016

@mrishompoto mpaka sasa anelekea kunyakua hii tuzo . ni jitihada zako wewe ndiyo zimenfikisha hapa alipo.nguvu zaidi zinahitajika kumuhakikishia mpoto anaibuka mshindi bila kipingamizi na kutulete heshima Tanzania.unachotakiwa kufanya sasa ingia upande wa  sms andika KORA 67 kwenda 248984000 . Hapo kura yako itakuwa imehesabika. Siyo wewe tu. Sambaza ujumbe huu kwa ndugu zetu zaidi kupitia mitandao ya kijamii whatsapp, facebook, twitter, instagtam nk. Pia katika magroup

Related Posts:

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE