January 12, 2016


January 11 ndio ilikuwa siku ya shirikisho la soka ulimwenguni FIFAkutangaza washindi wa tuzo kadhaa ikiwemo tuzo ya mchezaji bora wa Dunia ambayo ilikuwa inawaniwa naLionel MessiNeymar na Cristiano RonaldoFIFA usiku wa January 11Zurich Uswiss wamemtangaza mshambuliaji wa kimataifa waArgentina na klabu ya FC Barcelonaya Hispania Lionel Messi kuwa mshindi wa tuzo ya mchezaji bora wa Dunia kwa mara ya tano.

Lionel Messi akiwa na tuzo yake ya 5 ya Ballon d’Or

Hii ni list ya washindi wa tuzo nyingine za FIFA kwa mwaka 2015

Kikosi bora

Golikipa: Manuel Neuer,
MabekiThiago Silva , Marcelo,Sergio RamosDani Alves
ViungoAndres Iniesta , Luka ModricPaul Pogba,
Washambuliaji: NeymarLionel MessiCristiano Ronaldo.

Kikosi Bora cha mwaka


Kocha bora wa mwaka Luis Enrique wa FC BarcelonaWendell Lira wa klabu ya Atletico Goianiense ameshinda tuzo ya goli bora la mwakaMchezaji bora wa mwaka wa kike Carli Lloyd kutoka USAameshinda tuzo hiyo kwa mara ya kwanza.

Zilianza kupigwa self wakati wa shughuli ya tuzo

Ronaldo akisalimiana na mke wa Lionel Messi anayeitwa Antonella pembeniNeymar.

Ronaldo na Messi

Carli Lloyd na Lionel Messi wakiwa na tuzo zao


Related Posts:

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE