January 08, 2016

Anaitwa Caleedy, ni mwanamuziki chipukizi toka mkoani Morogoro, amekuletea wimbo wake unaoitwa I do. Caleedy katika wimbo huu amemshirikisha mkali wa wimbo wa Deka anayefahamika kwa jina la Braitz. wimbo umefanywa na Producer Black Prince  katika studio za Afroteez za mjini Morogoro.

Caleedy anaomba sapport yako ya hali na mali. anapatikana kwa 
0714652726
pia ..
facebook Caleedy Arnoger
instagram Caleedy_arnoger
twitter Arnogercaleedy
Support Good music.

Related Posts:

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE