Bondia Francis
Cheka wa Tanzania amempiga Mserbia Geard Ajetovic kwa pointi jijini Dar na
kunyakuwa ubingwa wa mabara usiku wa kuamkia leo. Sasa kuwania ubingwa
wa dunia.
TUFUATE TARATIBU ILI KUDUMISHA AMANI YETU- MALECHA
-
Na Mwandishi wetu, Dar
Khalid Malecha, Mkazi wa Kitonga Jijini Dar Es Salaam, ameeleza kuwa maelfu
ya wananchi waliathirika moja kwa moja na ghasia na m...
0 MAONI YAKO:
Post a Comment