Kutokana na maombi ya wadau wetu ya mara kwa mara, sasa tutaanza kuwaletea nyimbo mbalimbali za zamani, hii ni kutokana na maombi ya wadau pamoja na chaguo letu. Leo tumeanza na wimbo wa Bob Marley unaitwa No woman no cry.wimbo ambao uliimbwa mwaka 1979
February 27, 2016
10:27 PM
Machaku
No comments
Related Posts:
VIDEO:Inaskitisha Sana; Said Aliyetobolewa Macho Hatoona Tena Maishani Mwake Said Ally akiwa katika hali ya huzuni baada ya kuambiwa haotoona tena. …akifarijiwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Saalam, Paul Makonda. …Akizungumza na Mhe. Makonda. Mapema leo Mkuu wa mkoa wa Dar es … Read More
CUF Hatarini Kufutiwa Usajili Mgogoro unaoiandama CUF huenda ukailetea balaa zaidi, baada ya kuwapo kwa taarifa kuwa huenda ikafutwa kama itazidi kukomalia msimamo ilionao wa kutotaka ushauri. Mgogoro huo umekipasua chama… Read More
MASKINI: Majibu ya Aliyetobolewa Macho Yatoka...Hata Weza Kuona Tena Milele Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ametoa majibu kuhusu na hatma ya kijana Said Ally aliyetobolewa macho maeneo ya Buguruni Sheli na kusema hatoweza kuona tena Makonda ametoa majibu hayo ofisini kwake Ijumaa… Read More
Hatimaye Ombeni Sefue apangiwa kazi hii Hatimaye Rais John Magufuli ametimiza ahadi yake kwa aliyekuwa Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue baada ya kumteua kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo Cha Diplomasia. Balozi Sefue amepata uteuzi huo ja… Read More
Kijana aliyemea mkia afanyiwa upasuaji Kijana mwenye mkia wa sentimita 20 unaomea chini ya uti wa mgongo wake amefanyiwa upasuaji ili uondolewe Ulianza kutokea katika mgongo wa kijana huyo wa miaka 18 baada ya siku yake ya kuzaliwa ya 14. Yeye na … Read More
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 MAONI YAKO:
Post a Comment