February 04, 2016

                              
Sasa hivi katika stori za mastaa wa bongo zinazoongelewa sana ni pamoja na uhusiano wa kimapenzi wa Idris na Wema Sepetu.

Baada ya Wema kutangaza kwenye vyombo vya habari kuwa anao ujauzito wa Idris, swali lililofata kwa Idris ni kuhusu mpango wa ndoa.

 Akiongea kwenye exclusive na DStv.com, Idris amesema ndoa yake na Wema itakua very soon, yani angependa sana kuifanya hivi karibuni japo hajajua kama itakua ni baada au kabla ya mtoto kuzaliwa.

 Kwenye sentensi nyingine, Idris amesema anamalizia episode nane za show yake ya vichekesho itakayoonekana kwenye BET Africa na sasa atakua comedian kwenye headlines za kimataifa.

 

Amesema show hiyo itakua kwenye lugha ya Kiswahili na English ili kuweza kufanikiwa kuwafikia watu katika mataifa mbalimbali ya Afrika.

Source : DSTV

Related Posts:

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE