February 24, 2016

 Upinzani wapinga matokea ya uchaguzi yanayotolewa na tume ya uchaguzi Niger
Wapiga kura nchini Niger wameomba kuwa na uvumilivu kufuatia kutolewa taratibu kwa matokea ya uchaguzi uliofanyika nchini.
Tume ya uchaguzi imetoa matokea ya baadhi ya majimbo huku upinzani ukifahamisha kupinga matokeo hayo.
Vyama vya upinzani ikiwemo muungano wa vyama vinne vilivyoungana kwa nia ya kuibuka ushindi katika uchaguzi mwaka 2016.
Kiongozi mmoja wa upinzani kwa jina la Adal Roubeid amedai kwa upande wake kuwa uchaguzi umegubikwa na udanganyifu katika eneo la kaskazini mwa Niger.

Related Posts:

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE