February 26, 2016

Wasanii Misri watoa wito wa uhuru wa ubunifu na kujieleza


Waandishi,wasanii na watengezaji wa filamu waanzisha kampeni za kutaka uhuru zaidi wa ubunifu na kujieleza katika kazi zao za kisanii.
Kampeni hizo zilianza baada ya mwandishi wa vitabu kukamatwa kwa kukiuka sheria za uandishi.
Mwandishi Ahmed Naji, alishtakiwa na kuhukumiwa kifungu cha miaka miwili jela kwa kuchapisha kitabu kilichokuwa na maelezo ya ngono na madawa ya kulevya.
Kmapeni ya kupinga kifungo cha Naji kilianzishwa siku ya Alhamis huku video zikisambazwa katika mitandao ya kijamii.

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE