March 17, 2016

 

TAARIFA KWA UMMA
WAJUMBE WA VIKOSI KAZI VYA KITAIFA VYA NGOME ZA CHAMA CHA WAZALENDO (ACT-WAZALENDO

Tarehe 02. 03. 2016, Sekratarieti ya Chama cha Wazalendo (ACT-Wazalendo) kama ilivyokasimishiwa madaraka na Kamati Kuu ya Chama katika Kikao chake cha Tarehe 13. 02. 2016, imeidhinisha uteuzi wa Wajumbe wa Vikosi Kazi (Task Forces) wa Ngome za Kitaifa za Chama.
Vikosi Kazi vya Kitaifa vya Ngome za Chama vitakuwa na jukumu la kuratibu na kusimamia uendeshaji wa ngome husika hadi uchaguzi wa Chama utapofanyika mwaka 2017. Wajumbe wa Vikosi Kazi watachagua viongozi wa ngome husika.
Wajumbe walioteuliwa ni kama ifuatavyo:
NGOME YA VIJANA TAIFA:
1. Ndugu Edna Mangomango
2. Ndugu Philip Mallack
3. Ndugu Licapo Bakari
4. Ndugu Karama Kaila
5. Ndugu Anganile Massawe
6. Ndugu Dickson Bagamba
7. Ndugu Mwantum Mgonja
8. Ndugu Haji Usi Haji
9. Ndugu Hassan Abdallah

NGOME YA WANAWAKE TAIFA:
1. Ndugu Mkiwa Kiwanga
2. Ndugu Chiku Abwao
3. Ndugu Anastella Mallack
4. Ndugu Dotto Chacha Wangwe
5. Ndugu Eva Mpagama
6. Ndugu Mwanahamisi Semhinga
7. Ndugu Sixbether M. Mvule
8. Ndugu Mwanaharusi Nassor
9. Ndugu Ester Kayamba
10. Ndugu Nawiye Abdallah Mussa
11. Ndugu Ghanima Suleiman Shibu

NGOME YA WAZEE:
1. Ndugu Hamis Hassan Makapa
2. Ndugu Wilson Mushumbushi
3. Ndugu Salma Mtambo
4. Ndugu Hellen A. Chota
5. Ndugu Mussa Nandimuka 'Ndevu’
6. Ndugu aneno Ramadhan Suleiman
7. Ndugu Abdallah Omar Abdallah


Abdallah Khamis,
Afisa habari wa Chama Cha Wazalendo (ACT Wazalendo).

Tel: +255 22 277 1103, Mob: +255 655549154(Afisa Habari
Baruapepe: actwazalendo15@gmail.com Website: www.act.or.tz

Related Posts:

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE