March 22, 2016

 Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP, Inspekta Jenerali, Ernest Mangu (katikati), akipokea mfano wa hundi yenye thamani ya shs. milioni 255 kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei (wa pili kushoto), kwa ajili ya kusaidia ujenzi wa kituo cha mawasilianio ya Jeshi la Polisi. Kulia ni Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Kamishna, Simon Siro, Mtendaji Mkuu wa Kitengo cha Ufuatiliaji wa Utekelezaji wa Miradi, Omary Issa (wa pili kulia) na kushoto ni Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Esther Kitoka.
(Picha na Francis Dande)
 
 Mkuu wa Jeshi la Polisi, IGP, Irnest Mangu (katikati) akionyesha furaha yake baada ya kupokea mafano wa hundi yenye thamani ya shs. Milioni 55.
 
 Mkurugenzi wa Masoko, Utafiti na Huduma kwa Wateja wa Benki ya CRDB, Tully Mwambapa akizungumza katika hafla hiyo.
 
 
 Baadhi ya wageni waalikwa.
 
 
 Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei akizungumza kabla ya kukabidhi hundi ya Shs. Milioni 255 kwa Jeshi la Polisi.
 
 
  Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP, Inspekta Jenerali, Ernest Mangu akizungumza katika hafla ya makabidhiano ya mfano wa hundi yenye thamani ya shs. milioni 255 kutoka Benki ya CRDB kwa ajili ya kusaidia ujenzi wa kituo cha mawasilianio ya Jeshi la Polisi.
 
 
 Meza Kuu.
 
 
 Baadhi ya maofisa wa Benki ya CRDB.
 
Na Glory Chacky.
BENKI ya CRDB imekabidhi msaada wa sh.Milioni 255 kwa Jeshi la polisi kwa ajili ya  ujenzi wa kituo cha mawasiliano.

Akizungumza jana jijini Dar es salaam wakati wa makabidhiano hayo Mkurugenzi Mtendaji wa CRDB, Dk. Charles Kimei amesema kuwa wanatambua kuwa jeshi la polisi ili waweze kufanya kazi kwa ufanisi linahitaji mfumo bora wa mawasiliano kati yake na raia.

Alisema wameamua kuelekeza msada huo kwa jeshi la polisi kwa kutambua na kuthamini kazi kubwa inayofanywa na jeshi hilo ya kuhakusha kwamba kuna usalama na amani kwa raia.

Kimei alisema juhudi za wanachi katika kujikwamua  katika umaskini  hazitafanikiwa kama kutakuwa na ukosefu wa usalama wa raia na  mali zao kwa ujumla.

Naye mkuu wa Jeshi la polisi IGP, Ernest Mangu alisema  kuwa wanashukuru kwa msaada huo kwani itasaudia kupunguza matukio ya kiualifu.

“ Kituo  hiki kitasaidia kulisogeza jeshi la polisi karibu zaidi na wananchi na kushirikiana nao katika kutaarifiana juu ya maswala ya kiualifu pindi yanapojitokeza”alisema Mangu.

Related Posts:

  • MZIKI KWELI KAZI Utadhani ni baba anampa kichapo mwanae lakn sio hvyo huyo n msanii akipewa kichapo na producer wake, jina la producer na Deey Classic anafanyia kazi zake kwenye studio ya Rock Town Record iliyopo jijini Mwanza maeneo y… Read More
  • OSTAADH JUMA NA MSOMA KUMRUDISHA DOGO JANJA TOWN Dogo Janja akiwa kwenye basi kurudi kwao Arusha June 13 2012. Pamoja na kwamba aliapa hatorudi tena Dar ni bora aende kuishi kwao Arusha baada kutoridhika na vitu alivyokua akifanyiwa na Meneja Madee wa Tip Top Connecti… Read More
  • TIP TOP KUFUTA NYIMBO ZA DOGO JANJA??? Jana na juzi habari ya Dogo Janja kufukuzwa Tip Top Connection imekuwa gumzo. Kila upande wa wanaouhusika kwenye sakata hili, yaani yeye Dogo Janja na Madee ambaye ndiye aliyehusika kumleta Tip Top na kukabidhiwa na … Read More
  • ULIWAI KUIPATA HIII? YA DAYNAAA   DAYNA   NA HIP  HOP … Read More
  • ALICHOKISEMA WASTARA KUHUSU HALI YA SAJUKI   . Maombi ya watanzania pamoja na michango yao ya fedha vimesaidia kumfikisha mwigizaji Sajuki hapa alipo baada ya kupata nafuu kubwa toka apelekwe India kuitibiwa. Wastara akizungumza exclusive na milla… Read More

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE