Karibu mdau wa ubalozini.blogspot.com. Tumekukusanyia kurasa za magazeti ya leo hii Jumanne 22March 2016.Kubwa katika magazeti ya leo ni kuhusianan na matokeo ya uchaguzi wa marudio visiwani Zanznibar ambao yamempa DR.Shein ushindi wa asilimia 91.4. Hayo na mengine mengi, ungana nasi hapa
WAGANGA WA KUTIBU KWA KUTUMIA NGONO WAKAMATWA
POLISI Mkoa wa Temeke, imewakamata vijana wawili wanaodaiwa kujifanya
waganga wanaotoa tiba kwa wanawake, ambayo masharti yake ni kushiriki
nao ngono bila kinga na kuacha nguo za ndani, ili zifanyiwe dawa zaidi.
Akizung…Read More
RAY C AMTAHADHARISHA HADIJA KOPA
Msanii wa muziki Rehema Chalamila aka Ray C amefunguka kwa kudai kuwa
ujio wake mpya kwenye muziki atakuja pia na nyimbo za taarab, huku
akimtaka Khadija Kopa ajiandae.
Akizungumza na Sporah Show hivi karibuni, R…Read More
MAKUBWA, GEORGE TYSON HAJAZIKWA MPAKA LEO!!!!!
KAMA huna taarifa, habarika sasa kwamba, mwili wa aliyekuwa mwongoza
filamu za Kibongo, marehemu George Otieno Okumu ‘Tyson’ (41) aliyefariki
dunia Mei 30, mwaka huu kwa ajali mbaya ya gari nchini Tanzania na
kus…Read More
0 MAONI YAKO:
Post a Comment