March 11, 2016

 


Msomi mmoja kutoka Tanzania Aneth David Mwakilili ni miongoni mwa wasomi wengine walioteuliwa kuwania tuzo la wanasayansi wachanga barani afrika maarufu kama The Next Einstein Forum (NEF).
Tuzo hiyo huleta pamoja wasomi wa sayansi, watunga sheria na washika dau katika seKta mbali mbali barani afrika, kujadili na kuhimiza sayansi inayoweza kutatua matatizo yanayokumba bara la Afrika.
Washindi wa tuzo hiyo wanapewa ufadhili na usaidizi kutoka kwa wakfu huo ili kutekeleza utafiti wao kikamilifu.
Katika shindano hili Mwakilili, atafanya utafiti ambao utasaidia wakulimu kutokomeza kwekwe na hivyo kuimarisha mazao yao.

Related Posts:

  • Diamond Katika maandalizi ya Tuzo   Habari Za Hivi Punde Msanii Wa Nyumbani Daimond Platnumz Akiwa Katika Maandalizi Ya Tuzo Za Mtv Jumamosi Hii Huko SouthAfrica Msanii Huyo Amechaguliwa Kushindania Tuzo Nyingne Nchini Marekani Ziitwazo #AfricanE… Read More
  • CUF: hatujasusia wala kujitoa UKAWA. Chama cha Wananchi CUF kimekanusha taarifa zilizoenea kuwa kimejitoa kwenye Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) CUF imesema kuwa haikuhudhuria katika kikao cha Ukawa kilichoendelea jana kwa sababu kwanza hawak… Read More
  • Audio:Matonya awataja watu maarufu wenye visa  Mkali wa muzii wa bongo fleva Matonya, amekuja na wimbo wake mpya uitwao Visa. Ingia hapa   kudownload … Read More
  • Kingunge: "Kamati ya maadili imefanya kazi isiyowahusu" Jana akiwa nyumbani kwake Mwanasiasa Mgongwe nchini na Muasisi wa Chama cha Mapinduzi – CCM, Mzee Kingunge Ngombari Mwiru aliongea na waandishi wa habari na kutoa maoni yake juu ya mchakato mzima wa chama chake c… Read More
  • Muziki wamuachisha kazi Vanessa Vanessa Mdee ameamua kuachana na kazi ya utangazaji wa redio na TV na kufanya muziki kuwa kazi ya muda wote. Akiongea kwenye mahojiano na jarida la Essence la Marekani, Vanessa amesema muziki ni kitu alichoamua kukipa mu… Read More

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE