Kwa mara ya kwanza kabisa wimbo huu uliimbwa na mwana mama Miriam Makeba kutoka Afrika kusini, hii ni mnamo mwaka 1974. Zikaja Version mbalimbali za wimbo huu. Hii ni kutokana na kukubalika kwake. Niwaambie tu uhondo wa wimbo huu wa Malaika hautakaa uishe kabisa na ndiyo maana unafanyiwa editing mara kwa mara. Safari hii ni zamu ya mwanamuziki Ainea kutoka mkoani Dododma ametuletea Version ya wimbo huu wa Malaika, hapa amemshirikisha mwana dada BS.
ISIKILIZE VIZURI HAPA
0 MAONI YAKO:
Post a Comment