MTATIRO: CUF Haina Walinzi wa Chama Wenye Bastola
Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi, The Civic United Front (CUF) Julius Mtatiro amefunguka na kusema chama cha CUF hakina walinzi wa chama wenye bastola wala hakina walinzi wanaozunguka mitaani kufanya doria.
Julius Mta…Read More
Lipumba atakiwa kutoa tamko juu ya Vurugu za vijana wake
Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi CUF Pro. Ibrahim Haruna Lipumba, ametakiwa kujitokeza na kuvunja ukimya juu ya tukio la uvunjifu wa amani katika mkutano wa Maalim Seif na wana habari. Katika taarifa yao jukwaa la…Read More
Live Muungano Day : Kinachoendelea Dododma muda huu
Rais Magufuli akikagua gwaride la jeshi la Magereza katika sherehe za Miaka 53 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar mjini Dodoma
Rais mstaafu J K Kikwete apokewa kwa shangwe kubwa sana Dododma
Leo ikiwa ni…Read More
Zitto Kabwe awataka watanzania kupaza sauti juu ya bei ya unga
Mbunge wa Kigoma Mjini kupitia ACT Wazalendo Zitto Zuberi Kabwe, amewataka watanzania kuamka na kupaza sauti zao juu ya bei za bidhaa zinavyopanda hususan unga wa Sembe. Katika ukurasa wake wa Facebook Zitto ameandi…Read More
Tandika jamvi lako na Meridianbet hapa
-
Je unajua kuwa unaweza kumaliza Wikendi yako kirahisi sana ukiwa na
Meridianbet kwani ODDS...
The post Tandika jamvi lako na Meridianbet hapa first app...
0 MAONI YAKO:
Post a Comment