
Washindi wa tuzo ya #MalkiaWaNguvu
wakiongozwa na Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda pamoja na
Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji Clouds Media Group, Ruge Mutahaba
leo walimtembelea Makamu wa Rais, Mama Samia Suluhu nyumbani kwake

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mh. Paul Makonda akiwa na washindi wa Tuzo ya #MalkiaWaNguvu pamoja na Ruge Mutahaba tayari kwenda kumtembelea Makamu wa Rais Mh. Samia Suluhu Hassan nyumbani kwake mapema leo.
0 MAONI YAKO:
Post a Comment