Usiku wa March 5 2016 Tanzania imeingia kwenye historia nyingine baada ya waigizaji wake Elizabeth Michael ‘Lulu’ na Single Mtambalike "Rich" kushinda Tuzo za African Magic Viewer’s Choice Awards 2016 zilizotolewa Lagos Nigeria usiku wa kuamkia leo.

Hii ndio video ya Lulu na Single Mtambalike walivyotangazwa washinda na kuiweka Tanzania kwenye headlines na lulu a;ipomwaga chozi jukwaani
0 MAONI YAKO:
Post a Comment