Kocha wa Twiga Stars Nasra Mohamed akizungumza baada ya mechi
Timu ya taifa ya wanawake ya
Tanzania imelazwa na Zimbabwe kwenye mechi ya kufuzu kwa fainali za
Kombe la Mataifa ya Afrika kwa wanawake 2016.
Twiga Stars wamechapwa 2-1 na Zimbabwe katika mechi iliyochezewa uwanja wa Azam complex jijini Dar es Salaam.
Magoli
ya Zimbabwe yamefungwa na mchezaji Elina Jeke mabao yote mawili nalo
bao la Twiga Stars likatiwa kimiani na Mwanahamisi Omar.
Kocha wa Zimbabwe Takaedza Mugadza
0 MAONI YAKO:
Post a Comment