Hivi karibuni, moja ya habari kubwa zilizovunja rekodi katia anga ya burudani hapa nchini ni taarifa za msanii Chid Benzi kutumia madawa ya kulevya, hasa alipoonekana katika kipindi cha D'Wikend chat show cha Clouds TV. kama wewe ulipitwa na mahojiano hayo, basi tumekuwekea video ya mahijiano hayo hapa
Rais Samia: Tulitumia nguvu inayostahili, walitaka kufanya mapinduzi
-
RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amesema walitumia nguvu
inayostahili kudhibiti vurugu za tarehe...
3 hours ago





0 MAONI YAKO:
Post a Comment