Mwanamuziki matata wa Afrika toka nchini Nigeria Yemi Alade mama Afrika, leo hii ikiwa ni Ijumaa Kuu, ametuletea zawadi ya video ya wimbo wake mpya unaofanya poa kwa sasa wa Ferrari.
Rais Samia: Tulitumia nguvu inayostahili, walitaka kufanya mapinduzi
-
RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amesema walitumia nguvu
inayostahili kudhibiti vurugu za tarehe...
3 hours ago





0 MAONI YAKO:
Post a Comment