March 22, 2016

Mrembo kutoka kiwanda cha muziki wa Bongo Fleva Tanzania Dyna Nyange amefunguka katika exclusive na Ayo TV kuhusiana na alivyopata wakati mgumu kupata Collabo na mkali wa Bongo Fleva Alikiba.
Dyna alifunguka kuwa amewahi kumuomba Alikiba collabo zaidi ya mara mbili lakini haikuwa rahisi kumpata “Mtu ambaye niliwahi kumuomba collabo sikufanikiwa ni Alikiba, sisemi kwa ubaya lakini Alikiba nimewahi kumuomba collabo mara mbili bila kufanikiwa” >>> Dyna Nyange


Video ya Dyna Nyange akielezea ilivyokuwa

               

Related Posts:

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE