March 22, 2016

 

 Timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars itashuka dimbani hapo kesho, huko nchi Chad katika mchezo wa kuwania kufuzu kwa Fainali za Mataifa ya Afrika mwaka 2017.
Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa majira ya saa 11 kwa saa za nyumbani Afrika Mashariki.
Taifa Stars, imefanya mazoezi ya mwisho kuelekea mchezo huo katika uwanja wa Omnisports Idriss Mahamat Ouya ulipo katika jiji la D'jamena.
Kocha anayekinoa kikosi hicho Charles Boniface Mkwasa amesema anashukuru vijana wake hakuna majeruhi na wote wameweza kufanya mazoezi aliyoyapangilia.

Related Posts:

  • Msiba:Kapten John Komba amefariki dunia    Mbunge wa Mbinga  Mh: john Komba, amefariki Dunia jioni hii. Taarifa za kifo cheke zimetolewa katika A/C ya Twitter ya CCM na kusambaa katika vyombo mbalimbali .    Kepteni Komba enzi za uha… Read More
  • Pole Chris Brown mwenzako nilichekwa-Ommy Dimpoz    Msanii Omary Nyembo alimaarufu kama Ommy Dimpoz amefunguka na kusema kuwa watu wa uhamiaji duniani kote huwa hawatambui umaarufu wa mtu pindi wanapogundua kuna kitu hakijaenda sawa,Ommy Dimpoz amefunguka hay… Read More
  • Diamond atajwa kuwania tuzo nyinge kubwa Africa Diamond Platnumz ametajwa kuwania tuzo za 16 za Vodafone Ghana Music (Awards), VGMA 2015. Majina ya wasanii watakaowania tuzo hizo yametajwa kwenye hoteli ya La Palm Royal Beach Hotel jijini Accra, jana Ijumaa, Februar… Read More
  • Di Maria ajuta kujiunga na Man United    Mchezaji nyota ambaye pia ni kiungo wa kati wa Manchester United Angel Di Maria amesema kuwa alifanya makosa kujiunga na Kilabu ya Manchester United msimu uliopita. Raia huyo wa Argentina amejaribu kuingian… Read More
  • Rais Kikwete afanya uteuzi mpya    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, amefanya uteuzi wa Wenyeviti wa Tume ya Utumishi wa Umma na Tume ya Usuluhishi na Uamuzi (CMA) atika uteuzi huo, Rais amemteua Mhe… Read More

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE