March 6 2016 Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dr. John Pombe Magufuli amemtangaza katibu mkuu kiongozi mpya kwenye serikali yake ambaye anachukua nafasi hiyo iliyokua kwa Ombeni Sefue, katibu mkuu mpya amekua akifanya kazi kama Balozi wa Tanzania India, mtazame Rais Magufuli hapa chini.
UCHUNGUZI WA DCEA WAANIKA NJIA MPYA ZA UJANGILI WA KIMATAIFA WA DAWA
-
*Mfanyabiashara wa madini anaswa mkoani Lindi akisambaza biskuti hizo
Na Emmanuel Mbatilo, Dar es Salaam
MAMLAKA ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kul...
1 hour ago
0 MAONI YAKO:
Post a Comment