Mwanamuziki Amani kutoka nchini Kenya amesema ametikea kuupenda na kuukubali wambo wa shika adabu yako wa Nay wa Mitego. Akuzungumza na mzazi Willy M Tuva katika kipindi cha mambo mseto cha Radio Citizen Aamani amesema ametokea kuupenda wimbo huo hasa kutokana na mistari yake iliyopo ndani yake
Tazama Video hapa chini
0 MAONI YAKO:
Post a Comment