April 18, 2016


Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, siku ya jana imezindua rasmi mbio za mwenge wa Uhuru katika uwanja wa Jamhuri mkoani Morogoro. Mgeni Rasmi katika uzinduzi huo alikuwa makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu. Viongozi mbalimbali wa kisiasa na wadau walikuwa na mitazamo yao kuhusu mbio za mwenge na utendaji kazi wa Rais Magufuli. Hapa tunakutana na Kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo na muhadhiri mwandamizi wa chuo kikuu cha Dar Es Salaam Profesa Kitila Mkumbo katika ukurasa wake wa Facebook aliandika haya



Related Posts:

  •                                      singl… Read More
  • CYRILL AMFUNGUKIA OMMY DIMPOZ baada ya mkali wa nai nai Ommy Dimpoz kuongea katika radio mbali mbali na kumuua kwa maneneo Cyrill, kwa kusema "cyrill ni msanii ambae hafanyi show kabisa" Cyrill saa hii kafunguka kupitia XXL ya CloudsFm na kusema k… Read More
  • POLE FLAVIANA; PONGEZI KWA ULICHOKIFANYA Jana ilikuwa siku ya kumbukumbu ya miaka 16 tangu kutokea kwa  ajali ya MV Bukoba.Kumbukumbu ya ajali hiyo iliyosababisha vifo kwa maelfu ya watanzania ilifanyikia huko mkoani Mwanza. Pamoja na matukio mengine kadh… Read More
  • WIZI WA KAZI ZA WASANII KUKOMESHWA Mtendaji kutoka Kampuni ya Global StandardOne (GS1), Andrew Karumuna akionesha moja ya kazi ya Msanii Judith Wambura(Lady Jay Dee) iliyowekewa alama maalum ya kimataifa ya utambuzi na udhibiti wabidhaa kwenye… Read More
  • DIAMOND , JOKATE HE HE HEEEE Diamond akiwa na Jokate. Naseeb Abdul ‘Diamond’. Jokate. KITENDO cha hivi karibuni cha mwanamuziki Naseeb Abdul ‘Diamond’ kunaswa hotelini na staa wa filamu za Kitanzania, Aunt Ezekiel, kumetibua mambo na sasa in… Read More

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE