Habari za leo ndugu mdau na mtembeleaji wa Ubalozini.blogspot.com. Karibu katika habari za magazeti leo hii. Leo ni Jumanne ya 19 April 2016, tumekukusanyia vichwa vua habari katika magazeti haya.
Naibu spika kuondolewa madarakani
Ofisi ya Spika imepokea taarifa ya kusudio la kuleta Bungeni Hoja ya
kumwondoa madarakani Naibu Spika Dkt. Tulia Ackson, iliyowasilishwa na
Mbunge wa Simanjiro, Mhe. James Millya.
…Read More
Abdu Kiba "Nipo tayari kufanya kazi na WCB"
Abdul Kiba amesema yupo tayari kujiunga na lebo ya WCB inayomilikiwa na Diamond kama hela itawekwa mezani.
Bifu la Alikiba na Diamond linaonekana kuathiri mpaka mfumo wa watu
wa pembeni wanaowazunguka wasanii hao japo…Read More
0 MAONI YAKO:
Post a Comment