April 25, 2016

Hii ni kazi mpya kabisa kutoka kwa mpiga bass wa Malaika Band Babu Bomba, ikiwa ni maalum kwaajili ya kuomboleza kifo cha mwanamuziki gwiji Afrika Papa Wemba. Ndani ya wimbo huu, licha Babu Bomba (pichani) kusimama kama producer pamoja na kupiga vyombo kadhaa, lakini pia kwa mara nyingine tena ameonyesha uwezo wake wa uimbaji. Usikilize wimbo huu maalum wa Papa Wemba aliyefariki jukwaani usiku wa kuamkia Jumapili huko Ivory Cost.

Soma zaidi hapa >>: http://www.saluti5.com/2016/04/new-audio-pata-wimbo-maalum-wa-papa.html
Copyright © saluti5

Kufuatioa kifo cha aliyekuwa mwanamuziki nguli toka nchini Congo D R C, Papa wemba, mwanamuziki na mpiga bass wa Malaika Music Band, Babu Bomba ametunga wimbo maalum wa maombolezo kwa ajili ya kifo cha Papa Wemba
Hii ni kazi mpya kabisa kutoka kwa mpiga bass wa Malaika Band Babu Bomba, ikiwa ni maalum kwaajili ya kuomboleza kifo cha mwanamuziki gwiji Afrika Papa Wemba. Ndani ya wimbo huu, licha Babu Bomba (pichani) kusimama kama producer pamoja na kupiga vyombo kadhaa, lakini pia kwa mara nyingine tena ameonyesha uwezo wake wa uimbaji. Usikilize wimbo huu maalum wa Papa Wemba aliyefariki jukwaani usiku wa kuamkia Jumapili huko Ivory Cost.

Soma zaidi hapa >>: http://www.saluti5.com/2016/04/new-audio-pata-wimbo-maalum-wa-papa.html
Copyright © saluti5
Hii ni kazi mpya kabisa kutoka kwa mpiga bass wa Malaika Band Babu Bomba, ikiwa ni maalum kwaajili ya kuomboleza kifo cha mwanamuziki gwiji Afrika Papa Wemba. Ndani ya wimbo huu, licha Babu Bomba (pichani) kusimama kama producer pamoja na kupiga vyombo kadhaa, lakini pia kwa mara nyingine tena ameonyesha uwezo wake wa uimbaji. Usikilize wimbo huu maalum wa Papa Wemba aliyefariki jukwaani usiku wa kuamkia Jumapili huko Ivory Cost.

Soma zaidi hapa >>: http://www.saluti5.com/2016/04/new-audio-pata-wimbo-maalum-wa-papa.html
Copyright © saluti5

Related Posts:

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE