April 26, 2016






Video mpya ya Mafikizolo waliyomshirikisha Diamond iitwayo COlors of Africa imekwamisha mpango wa mwanamuziki Jaguar kutoka nchini Kenya kuachia Video yake mpya.

Awali Msanii huyo likuwa Amepanga Kuachia Video Ya Kazi Yake Mpya Na MAFIKIZOLOj siku ya jana  April 25, Hata Hivyo Msanii Huyo Amebadili Mpango Huo na Huenda Akaachia Video Hiyo Baadaye Wiki Hii ama Ijaayo. Akizungumza na kipindi cha QFM na RASHID ABDALLA na MUNENE NYAGA, Jaguar Alifunguka Kuwa MAFIKIZOLO Walimwomba asitoe Video hiyo kwa sasa Maana tayari wana kazi nyingine mpya na DIAMOND. Jaguar ambaye amechana mistari kadhaa kwa Kingereza katika wimbo huo wake mpya, alisema Aliamua kuimba kizungu maana Msanii PREZZO alisema Hajui Kingereza. Jaguar Alimalizia Kwa Kusema Kuwa Wale Ambao hawajamuona akizikwenda wasubiri video waone alivyocheza.
 
Msikilize hapa
 

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE