April 05, 2016

 
Macho na maskio ya watanzania, kuhusu Serikali ya umoja wa kitaifa Zanziba, chanma gani kitatoa makamu wa kwanza wa Rais wa Serikali ya mapinduzi ya Zanziba? Katika serfikali iliyopita, iliyoundwa na vyama viwili vya Siasa vya Zanzibar, Makamu wa kwanza wa Rais alikuwa Maalim Seif Sharif Hamad kutoka Chama Cha Wananchi CUF.

   Sasa kutokana na chama cha CUF kutoshiriki katika uchaguzi uliopita, vyama vilivyoshiriki havikukidhi vigezo.

 Soma tamko la Rais wa Zanzibar hapa:
Akihutubia katika uzinduzi wa Baraza la 9 la Wawakilishi Zanzibar, Rais wa Zanzibar Dr Ali Mohamed Shein amesema kuwa kwenye uchaguzi wa Marudio uliofanyika Machi 20, hakuna chama kilichopata kura za rais kwa zaidi ya asilimia 10 isipokuwa CCM. Pia amesema kuwa hakuna chama kilichopata wabunge wengi isipokuwa CCM.Kwa mujibu wa Katiba ya Zanzibar, hakuna chama kilichopewaa ridhaa ya kuunda Serikali ya Umoja wa Kitaifa isipokuwa CCM.
Kwamba, Makamu wa Pili amechaguliwa kwa mujibu wa sheria na hakuna nafasi Kikatiba ya kuteua Makamu wa Kwanza wa Rais ama Mawaziri kutoka Upinzani. Amesema hayo ni maamuzi ya wananchi na ni lazima yaheshimiwe. Wananchi Wamewakataa wapinzani na kuiamini CCM.

Related Posts:

  • Kala pina kugombea Ubunge Kinondoni.    Mwanaumiki nguli wa Hip Hop nchini Kala pina, ametangaza nia ya kugombea kiti cha ubunge jimbo la Kinondoni kwa tiketi ya Chama cha wananchi CUF.   Akizungumz katika kipindi cha Leo tena cha Clouds Fm … Read More
  • Majambazi wawili wauawa Dar Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya DSM CP Suleiman Kova Taarifa iliyotolewa na jeshi hilo Kanda Maalum ya Dar es salaam, imesema kuwa katika tukio hilo majambazi wawili waliuawa kwa risasi wakati wakijaribu … Read More
  • Mh Lowassa aomboleza kifo cha mpigania Uhuru Waziri mkuu wa zamani mbunge wa Monduli Mh Edward Lowassa  na mkewe mama Regina Lowassa wakitoa heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu mzee Lazaro ole Ngoilenya Laizer aliyefariki juzi na kuzikwa leo Alhamis kijij… Read More
  • Mabinti wakimbia makwao wakihofia kukeketwa    Katika harakati za kupambana na ukatili wa kijinsia hususan ukeketaji wa wanawake nchini Tanzania,zaidi ya mabinti 16 waliotoroka makwao baada ya kuon akil adalili ya kutaka kukeketwa na jamii zao,wazungumz… Read More
  • Mfalme Salman ahakikishia ulimwengu    Salman bin Abdulaziz al-Saud, ndugu wa Abdullah na mtoto wa mwanzilishi wa ufalme, hatimaye ni mfalme wa Saudi Arabia na mlinzi wa maeneo mawili takatifu ya Uislamu.  Ijumaa, Januari 23, baada ya kut… Read More

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE