April 09, 2016


Wiki hii habari ya town ni Mtangazaji hodari Gardner G. Habash kurejea kutangaza CloudsFM aliyoacha kuifanyia kazi December mwaka 2010 ambapo baada ya shangwe za kurejea kwake mjengoni, good news zimeendelea.
Kwenye mahojiano na Zamaradi Mketema wa TAKE ONE CloudsTV, Gardner alisema hawezi kuweka wazi mshahara wake mpya baada ya kusajiliwa tena CloudsFM ila alikiri kwamba dau limepanda na leo April 9 2016 kaithibitisha millardayo.com kwamba mkataba mpya pia umeambatana na mengine likiwemo hili gari aina ya Land Rover Discovery.
captain 2 

Captain 1

Tazama Video Gardner akihojiwa na Zamaradi
                         

Related Posts:

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE