Hizi ni habari nzuri kwa wadau wa tasniaya Habari Tanzania na hata nje ya Tanzania. Blog yenu pemdwa ya CHUMA BLO thechuma.blogspot.com Imebadilisha muonekano pamoja na logo yake na kuweka katika muonekano huu mpya na wa kisasa kabisa..
Ukifungua CHUMA BLOG na kuikuta katika muonekano huuusistuke, hii ndiyo CHUMA BLOG
Alberto Msando Adai Wapo Waliochukia Yeye Kumtetea Wema
Mwanasheria wa #WemaSepetu, #AlbertMsando amefunguka kwa kudai kuwa kuna watu hawakupenda yeye kumsaidia kisheria muigizaji huyo wa filamu ambaye hivi karibuni alishikiliwa na jeshi la polisi kwa tuhuma za …Read More
Jaji Chande Apewa Kazi Umoja wa Mataifa..!!
Jaji mkuu mstaafu Othman Chande ameteuliwa kuongoza jopo la wataalamu watakaochunguza mazingira yaliyosababisha ajali ya ndege iliyomuua aliyekuwa katibu mkuu wa umoja huo, Dag Hammarskjold.
Uteuzi huo wa jaji mkuu …Read More
Makonda Awajibu Wanaomkosoa Juu ya Hatua Anazochukua..!!!
Mkuu wa Mkoa Dar es salaam kupitia Account yake ya Instagram Ameandika Ujumbe unaotafsiriwa ni kama kuwajibu wakosowaji wote ambao wanabeza na kudharua kile anachokifanya.
Katika Ukarasa wake wa Instagram Paul Makon…Read More
Tandika jamvi lako na Meridianbet hapa
-
Je unajua kuwa unaweza kumaliza Wikendi yako kirahisi sana ukiwa na
Meridianbet kwani ODDS...
The post Tandika jamvi lako na Meridianbet hapa first app...
0 MAONI YAKO:
Post a Comment