Afisa mkuu wa jeshi la Burundi ameuawa pamoja na mkewe baada ya kushambuliwa na watu wasiojulikana mjini Bujumbura.
Wizara ya ulinzi imethibitisha kifo chake.
Jenerali
huyo ndiye afisa wa karibuni zaidi wa jeshi kuuawa katika mji huo mkuu
wa Burundi tangu kufanyika kwa jaribio la kupindua serikali ya Rais
Pierre Nkurunziza mwaka jana.





0 MAONI YAKO:
Post a Comment