April 25, 2016

 
 

Mtangazaji mkongwe na machachari nchini Masoud Kipanya, anarejea rasmi Clouds Media Group baada ya kusimama kwa muda mrefu.
Jumatano hii April 27 2016 Wasikilizaji wa CloudsFM watamsikia kwa mara nyingine tena mkongwe huyo aliyewahi kuwika akiwa mtangazaji wa vipindi mbalimbali vya Clouds Fm ikiwamo Power Breakfast kipindi ambacho kilimpa umaarufu sana kipindi kile
CMG (Clouds Media Group) imethibitisha kwamba Mtangazaji Masoud Kipanya anarejea kufanya kazi na atasikika  tena kwenye show ileile ya POWER BREAKFAST akiungana na Barbara Hassan na Fredwaa. Masoud Kipanya pia ni mchoraji maarufu sana wa katuni za kipanya. karibu sana Masoud Kipanya
  
asoud Kipanya,Fina Mango wakiwa na Husna Abdul 'Dahuu 

 

Related Posts:

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE