
Habari mpenzi msomaji. Karibu katika kurasa za magazeti ya leo hii 26 April 2016. Ikiwa leo Tanzania inasherehekea siku ya kumbukumbu za Muungano wa nchi mbili ya Tanganyika na Zanzibar na kutengeneza nchi moja ya Tanzania.Tanzania leo hii inaadhimisha miaka 52 ya muungano huu ambao ulihasisiwa lasmi 26 April 1964 chini ya Rais wa kwanza wa Tanganyika Mwl. J.K. Nyerere na Rais wa kwanza wa Zanzibar Sheikh. Abeid Aman Karume. Tunakualika katika magazeti ya leo hii ambayo yameandika haya yafuatayo













0 MAONI YAKO:
Post a Comment