January 31, 2017

Madee 


Msanii wa muziki wa kizazi kipya kutokea Tip Top Connection Madee Ally aka Madee, amewashangaa wadau na wasanii wa Tanzania, kuonelea ajabu ya Mdau na mwanamuziki mkubwa toka Nigeria Don Jaz kuimba wimbo wa Snura Chura, Kupitia katika AC yake ya Twitter Madee ame tweet haya

"Hivi ni ajabu sana Don jaz kuimba nyimbo ya snura eeh..mbona km bado tunajichukulia poa!!!mara ngap tunaimba na kucheza nyimbo zao!!"

Related Posts:

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE