April 25, 2016

April 25 2016 Chama cha ACT Wazalendo kimekutana katika Mkutano wa Halmashauri Kuu ya Chama jijini Dar es salaam. Katika hotuba yake Kiongozi Mkuu wa chama hicho na Mbunge wa Kigoma Mjini Zitto Kabwe amempongeza Rais John Magufuli kwa kuanza katika eneo la ufisadi ambalo ni muhimu sana ambalo anasema ni msingi mkubwa wa kuanzishwa chama chao.

Licha ya kumuunga mkono kwa hatua hizo anazozichukua lakini ameelezea namna Rais Magufuli ambavyo amekuwa akiingilia majukumu ya Mawaziri, Zitto amesema ……

>>>’tumekuwa tukimshuhudisa Rais amekuwa Waziri wa fedha yeye, amekuwa Waziri wa Ujenzi yeye, anesema hela za Uhuru toa weka barabara ya Mwenge, kwa mujibu wa kiongozi wa upinzani bungeni Wizara ambayo Rais alikuwa anaongoza mpaka sasa matumizi yake yamezidi mara nne’:- Zitto Kabwe

                           

Related Posts:

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE