
Anaitwas Charles Steven Kanumba, mkongwe wa filamu nchini, aliyefariki April 07/ 2012. Leo ikiwa ni kumbukumbu toka kifo chake kimkute, unazungumziaje nafasi yake katika soko la filamu nchini? Unaamini kama kweli toka Kanumba amefariki soko la filamu nchini limeshuka? Hii ni moja ya move aliyoshiriki Marehemu Kanumba
Tazama hapa
0 MAONI YAKO:
Post a Comment