He was initially known as Snoop Doggy Dogg, then he changed toSnoop Dogg,
then Snoop Lion. Guess what, guys! Rapper Snoop Lion has once again
fiddled with his identity and this time, he is a white guy named Todd!
Dude, has for some hours now, been postingvideosof himself in white face on his IGpage,
been calling himself Todd, and doing advertisements for a website
called WhiteGuysConnect which doesn’t seem to be a real thing. Scroll
down to see more pics. He still lookssexytho winks.
Mez B azikwa leo hii Dodoma. Picha za mazishi ingia hapa
Mwanamuziki maarufu wa muziki wa Bongo Freva Mez B ameagwa na kuzikw leo mjini Dodoma.
Wananchi wakiwa wamebeba mwili wa marehemu Marehemu
Mez B baada ya kuagwa na mashabiki wa mziki pamoja na ndug…Read More
Ras Six alaani mauaji ya Albino
Ras Six
Msanii wa muziki Ras Six, akiwa kama moja ya wanaharakati wa kutetea
haki za walemavu hususan watu wenye Albinisim, yeye mwenyewe akiwa mmoja
wao, amelaani mauaji yanayoendelea dhidi ya albino…Read More
Misri yajiondoa AFCONwaziri wa michezo nchini Egypt Khaled Abdel-Aziz amethibitisha kuwa nchi yake imetupilia mbali jitihada zake za kuwa mwenyeji wa michuano ya kombe la mataifa ya Afrika mwaka 2017.
Anasema,tumeamua kujiondoa kwenye maombi hayo…Read More
0 MAONI YAKO:
Post a Comment