Rais John Magufuli amefanya ziara nchoni Rwanda, hii bi ziara ya kwanza ya Rais Magufuli kutoka nje ya Tanzania Tangu alipochaguliwa kuwa rais wa awamu ya Tano hapo October 25/ 2015. Hapa tumekuwekea baadhi ya picha za Rais Magufuli na rais Kagame katika baadhi ya matukio nchini humo
0 MAONI YAKO:
Post a Comment