Watu 5 wafariki dunia jijini Dar es saalam baada nyumba yao kufunikwa na kifusi kufuatia kuanguka kwa tanki la maji. Tukio hilo lililotokea jana huko Kawe Jijini Dar es Salaam na kusababishwa na tanki hilo la maji, tayari Jeshi la Polisi limethibitisha tukio hilo.
Tazama Video hapa
0 MAONI YAKO:
Post a Comment