Tanzania imeingia kwenye Hedline nyingine baada ya binti mwenye umri wa miaka 16 toka Mwanza, kuapata nafasi ya kuhutubia

Getrude Clement akihutubia hafla maalum ya Mkutano wa Makubaliano ya Paris kwenye Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa (UN), New York, Marekani kama mwakilishi mtandao wa wanahabari watoto wa Shirika la Kuhudumia Watoto Duniani, UNICEF.
Getrude alipata nafasi ya kuwakilisha vijana kutoka ulimwenguni kote alipohutubia Baraza hilo.
Mtazame mwenyewe hapa Getrude akihutubia UN.
0 MAONI YAKO:
Post a Comment