Kiongozi wa Muslim Brotherhood kunyongwa
Mohammed Badie
Mahakama moja nchini Misri
imethibitisha hukumu ya kifo ya kiongozi wa kundi la Muslim Brotherhood
Mohammed Badie na watu wengine 13 kwa kupanga mashambulizi dhidi ya
serikali.
Pia mahakama …Read More
Kabaka amaliza mgomo wa madereva
Waziri
wa Kazi na Ajira Mhe. Gaudencia Kabaka amefanikiwa kumaliza mgomo wa
madereva nchini ulioanza leo baada ya kutangaza kufuta agizo lililokuwa
likiwataka madereva wa mabasi na malori kwenda kusoma tena ka…Read More
Dayna Nyange ft Nay wa Mitego - Nitulize
Huu wimbo wa Dayna ni siku mbili toka kutoka kwake, hatimaye hapa tumewaletea link kutoka kwa wasambazaji wa nyimbo za wasanii Tanzania Mkito.com. Download hapa chini
…Read More
0 MAONI YAKO:
Post a Comment