Aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum (CHADEMA), Mhe. Christina Lissu
Mughwai amefariki dunia muda mfupi
uliopita katika hospitali ya Aga Khan jijini Dar es salaam. Marehemu
alikuwa anasumbuliwa na maradhi ya saratani tangu mwaka jana, na alikuwa
mbunge katika bunge la 10.
R.I.P Christina
Source:Swahili Media
0 MAONI YAKO:
Post a Comment