April 07, 2016


Kutwa ya leo kulikuwa na taarifa zimesambaa sana za mwimbaji staa wa bongofleva Diamond Platnumz kuonekana katoboa pua, hii habari imepewa nguvu kutokana na picha aliyoipost Diamond mwenyewe kwenye Instagram akionekana amevaa kipini.
Ukweli ukoje? Meneja wake aitwae Sallam SK aliwajibu hivi mashabiki walioanza kuuliza 
 ‘Usiamini kila unachoona kwenye picha au unachoambiwa, mlikuwa mmelala sana amewaamsha kidogo’

          SK
Maneno ya Meneja Sallam yanamaanisha kwamba sio kweli Diamond katoboa pua, ni mchezo tu na baada ya hiyo picha ya kutoboa pua Diamond aliweka picha nyingine inayoonekana hapa chini akiwa 
fresh kabisa watu wasiendelee kupanic.

Diamond 2

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE