Mungu ailaze roho yake mahala pema peponi Amin. Hapa tumeipata show na video ya Marehemu Papa Wemba akiwa jukwaani kutumbuiza mpaka kudondoka kwake na kukutwa na umauti. Pumzika kwa amani papa Wemba
Mshindi wa supa Nyota Medy Botion Avunja ukimya,
Mshindi wa Fiesta Supa Nyota 2016 mkoa wa Morogoro Medy Botion, ameamua kuvunja ukimya juu ya tabia inayofanywa na baadhi ya wasanii hapa nchini na wadau hapa nchini. Katika ukurasa wake wa Facebook Botion ana…Read More
Live show: Millennium Stage - Jagwa Music
From the streets of Dar es Salaam, Tanzania, Jagwa Music brings on a high-powered celebration with the interlocking rumble of drums, hacked mini casio keyboards, and hotwired megaphones grounding spitfire v…Read More
Kurasa za Magazetini leo hii Jumapili ya 13 November
Habari mpenzi msimaji. Karibu katika kurasa za magazetini leo hii Jumapili ya 13 November 2016. Tumekukusanyia vichwa vya habari za mbele na za nyumba katika kurasa za magazetini leo hii. Kwa habari za…Read More
Azam FC yampa mkataba wa miaka 3 kiungo Agyei kutoka Ghana
Klabu Bingwa ya Azam FC, unayofuraha kuwaataarifu wapenzi
wa soka kuwa umefanikiwa kuingia mkataba wa miaka mitatu na kiungo
mshambuliaji kutoka Ghana, Enock Atta Agyei.
Agosti mwaka huu, Azam FC tuliingi…Read More
Tandika jamvi lako na Meridianbet hapa
-
Je unajua kuwa unaweza kumaliza Wikendi yako kirahisi sana ukiwa na
Meridianbet kwani ODDS...
The post Tandika jamvi lako na Meridianbet hapa first app...
0 MAONI YAKO:
Post a Comment