Mkali wa muziki na sauti nchini Tanzania Ali Kiba ameachia rasmi Video ya wimbo wake wa AJE lakini katika wimbo huu kuna tofauti kabisa na ile audio ya Mwanzo.Humu hakuna mashairi wala sauti ya M. I ambaye katika audio ya mwanzo alisikika
Nani kushinda na kuondoka na pointi 3 leo?
-
Kama kawaida ni siku nyingine pendwa kabisa ambapo mechi kibao za kufuzu
Europa League...
6 hours ago
0 MAONI YAKO:
Post a Comment